#michezohalisiupdates

Jumamosi hii saa 10 kamili jioni LIVE kutoka SERENA Hotel kupitia Azam Tv na Youtube channel ya YANGA SC TV ni siku adhimu ya kuandikwa kwa historia Barani Afrika ya uzinduzi wa utiwaji SAHIHI mchakato Rasmi wa mabadiliko ya Uendeshaji kati Ya Yanga Sc / laliga / Gsm. @laliga @yangascupdates @azamtvtz @antonionugaz @caamil_88 #30MeiYangalaligagsm #Liveserenahotel #wapesalaam #twenzetukwenyemabadiliko #daimambelenyumamwiko . . .. .follow @yangascupdates Follow @yangascupdates .follow @yangascupdates . Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates . .. . . . .. #90sportsplus #90sportsplusupdates #sisinisoka #sokaonlineupdates #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #simbaraha #simba #millardayoupdates #millardayo #millardayosports #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #dailysporttz #dailysportt #yangasc #diamondplatnumz #yangascbingwaupdates #yanga #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleague🇹🇿 #zamuyetuafcon2019🇹🇿v


0💬Normal

Keshokutwa Jumamosi, May 30 klabu ya @yangasc inakwenda kuweka rekodi kwa kuwa timu ya kwanza Barani Afrika kufanya kazi na waendeshaji wa ligi bora duniani, Ligi Kuu ya Hispania, La Liga Ndio! Mkataba wa makubaliano baina ya Yanga na La Liga utasainiwa Hoteli ya Serena ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Yanga wamewaleta La Liga nchini kwa kazi moja tu, kutengeneza mfumo wa uendeshaji ambao utakuwa na tija kwa mabingwa hao wa kihistoria Shukrani za kipekee ziwaendee kampuni ya GSM, ambao wamedhamini mchakato mzima kuanzia hatua za awali Kabla ya makubaliano na La Liga, Yanga ilimleta mtaalam kutoka nchini Ureno, Antonio Pinto aliyewahi kufanya kazi katika klabu ya Benfica kwa zaidi ya miaka 10 Hata hivyo mapendekezo yake yalionekana kutokuwa na tija kwa klabu ya Yanga hivyo GSM kuelekea Hispania kufanya mazungumzo na La Liga La Liga wamefanya kazi na vilabu zaidi ya 40, kwa Afrika Yanga inakuwa klabu ya kwanza Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla anaamini mchakato huo utakapokamilika, Yanga itakuwa mfano na sehemu ya kujifunza kwa vilabu vingine barani Afrika #yanganextlevel #TWENZETUKWENYEMABADILIKO @yangascupdates . . .. . . . #daimambelenyumamwiko #wapesalamu #yangasc #mabingwawakihistoria . . .follow @yangascupdates Follow @yangascupdates .follow @yangascupdates . Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates . .. . . . .. #90sportsplus #90sportsplusupdates #sisinisoka #sokaonlineupdates #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #simbaraha #simba #millardayoupdates #millardayo #millardayosports #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #dailysporttz #dailysportt #yangasc #diamondplatnumz #yangascbingwaupdates #yanga #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleague🇹🇿 #zamuyetuafcon2019🇹🇿v


0💬Normal

Wakati wowote ndani ya wiki hii, klabu ya Yanga na bosi kutoka La Liga, Carraca Antonio watasaini mkataba unaofungua rasmi ukurasa wa mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa Uwendeshaji Yanga Msemaji na Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema baada ya mkataba huo kusainiwa, awamu ya kwanza ya mchakato huo itaanza Nugaz amesema Yanga imejiridhisha kuwa imefanya uamuzi sahihi kuwachagua La Liga kuwaongoza kwenye mchakato huo kwani ni kampuni ambayo ina uzoefu na imevisaidia vilabu vingi "Kwa kuzingatia hili, tulimchagua La Liga kuwa mshauri, tunaamini kwamba ana sifa zinazotufanya kufika mbali kwenye mabadiliko," alisema Nugaz. Pia alitoa wito kwa mashabiki na wanachama kutoa ushirikiano uongozi ili ndoto za kuibadilisha Yanga zifanikiwe kwa urahisi. "Vitu vingi vitaathiriwa tunapokwenda kwenye mabadiliko katika suala la usimamizi wa klabu, idara ya masoko na idara zingine pia. "Wote tufanye kazi kwa kushirikiana Mwenyekiti wetu Dk Mshindo Msolla ili tufike katika nchi iliyoahidiwa kwa urahisi na kuruhusu michakato . @yangascupdates . . .. . . . #daimambelenyumamwiko #wapesalamu #yangasc #mabingwawakihistoria . . .follow @yangascupdates Follow @yangascupdates .follow @yangascupdates . Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates Follow @yangascupdates . .. . . . .. #90sportsplus #90sportsplusupdates #sisinisoka #sokaonlineupdates #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #simbaraha #simba #millardayoupdates #millardayo #millardayosports #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #dailysporttz #dailysportt #yangasc #diamondplatnumz #yangascbingwaupdates #yanga #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleague🇹🇿 #zamuyetuafcon2019🇹🇿v


0💬Normal

Matokeo Ya michezo ya jana Bündesilga . . . RB Leipzig 2:2 Hertha Berlin Augsburg 0:0 Pederborn Düsseldorf 2:1 Schalke Hoffenheim 3:1 Fc Köln Union Berlin 1:1 Fc Mainz . . . . . . @j_swaga1 @oscaroscarjr @officialcarpoza @official_carpoza @oka_martin @official_liquid_piere @pierelikwidi @vitukouswahilini @mkudesimbaoriginal @udakutz_24hrs @udakusspecial_ @mau_fundi @ringo_makingtosh @tabumtingita @mbotohajiog @bambalive @bongo_trending_habari @vituko_vs_vicheko @cheka.kijanja @vunja_mbavuu_ @ringomkweche_brand @senga_og @yangafulldoz . . . . . . . . . . . . #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #wasafifmsportsarena #tanfootball #millardayosports #simbasctanzania #yangasc #mtibwasugar #azamfc #shafiidauda #daudatransferupdates #sportextra #simbasc #nguvumoja #kigoma #tumewasha #michezonimaisha #tanzania #zanzibar #bagamoyo #alikiba #yangatv #simbatv #morogoro #cfootboll8_updates #wapesalamu #boiplusupdates #efm #wekunduwamsimbazi


0💬Normal

MBADALA WA MROMANIA AZAM FC AANZA KAZI RASMI. . BAHATI Vivier, Kocha Msaidizi wa Azam FC, amewasili nchini kwa ajili ya kuanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kilicho nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi zake 54. . Azam FC imeanza kufanya mazoezi yake jana Jumatano ikiwa ni maandalizi ya kumalizia mechi zake 10 zilizobaki baada ya kucheza mechi 28. . Vivier atakuwa akifanya kazi na Kocha wa Makipa, Idd Abubakar,wakisubiria kurejea nchini kwa Kocha Mkuu, Aristica Cioaba na Kocha wa Viungo, Costel Birsan, waliokwama nchini kwao, Romania. . Makocha hao wanasubiria kurejea kwa usafiri wa ndege katika anga la Ulaya mwezi ujao, kufuatia makampuni mengi ya usafiri wa anga kusimamisha shughuli zao baada ya mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID-19). . . . . #sokabaseupdate . #90sportsplus #90sportsplusupdates #sisinisoka #sokaliveupdates #sokaonline #sokaonlineupdates #soka #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #SimbaRaha #simba #simbasc #millardayoupdates #millardayo #millardayosports #michezo#michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #dailysporttz #dailySportt #yangasc #diamondplatnumz #alikiba #yangascbingwaupdates #yanga #tanzaniapremierl #zamuyetuafcon2019


0💬Normal

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO: . ➡Mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo, 30, ametoa ombi la kibinafsi kwa klabu ya china ya Shanghai Shenhua, la kutaka kurefusha mkataba wake wa mkopo Manchester United. (Manchester Evening News). . ➡Liverpool wanataka kumsaini winga wa Wolves na Uhispania Adama Traore, 24, huku mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp akiripotiwa kuwasiliana na mchezaji huyo moja kwa moja. (TodoFichajes - in Spanish). . ➡Muda wa David Luiz Arsenal unaelekea kukamilika baada ya kubainika mkataba wa kiungo huyo wa Brazil wa miaka 33- unakamilika mwezi ujao. Mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote yaliyoanzinshwa kuhusu mkataba mpya. (Sky Sports). . ➡Liverpool haitalipa ada ya £50m itakayomwezesha mshambuliaji wa RB Leipzig na Ujerumani Timo Werner, 24, kujiunga nao wakikadiria kuwa thamani yake ni £30m katika soko la sasa la uhamisho. (Mirror). . ➡Tottenham wanapania kuwapiku washindani wao kadhaa wa ligi ya Premia katika usajili wa winga wa Bournemouth na Scotland Ryan Fraser, 26. (Football Insider). . ➡Manchester United na Real Madrid wanataka kumsaini kiungo wa kati wa Rennes Ufaransa Eduardo Camavinga, 17. (Metro). . ➡Beki wa Newcastle Mhispania Javier Manquillo, 26, anataka kujiunga na klabu ya La Liga club nchini kwao mkataba wake utakapo kamilika mwezi ujao. (Newcastle Chronicle). . . . #sokabaseupdate . #90sportsplus #90sportsplusupdates #sisinisoka #sokaliveupdates #sokaonline #sokaonlineupdates #soka #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #SimbaRaha #simba #simbasc #millardayoupdates #millardayo #millardayosports #michezo#michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #dailysporttz #dailySportt #yangasc #diamondplatnumz #alikiba #yangascbingwaupdates #yanga #tanzaniapremierl #zamuyetuafcon2019


1💬Normal

Arsène Wenger juu ya Liverpool kufungwa msimu huu kwenye EPL: 🗣️ "Ndio, Nilipata kuridhika Liverpool walivyofungwa na Watford. Nikweli niliwaza kuwa wanaweza maliza ligi bila kufungwa, ila niligundua kuwa ni ngumu sana kurudia kile tulicho kifanya." :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleague🇹🇿 #zamuyetuafcon2019🇹🇿


0💬Normal

#USAJILI Kwa mujibu wa Sky Sports, beki kisiki wa ARSENAL, David Luiz huenda akaondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu bure. Taarifa zindai kuwa hakuna maongezi baina yake na klabu yake ya Arsenal kuhusu kuongeza kandarasi mpya . _ Je, ni sahihi kwa Arsenal kumuacha Luiz aondoke? : : : : : : : : : : :. . . . #NjooKwetu #DimbalaMichezo #bongonews24 #washkajizangu #mungu #wasafi #tanzaniaweddings #simba #yangasc #ligikuutanzaniabara #michezo #michezohalisiupdates #Soka #sports #sokaonlineupdates #bakinasisi__ #sisinisoka #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangascbingwaupdates #simbanguvumoja #fullsokatzupdates #Transfers #transfertalk #liverpoolfc #liverpool


0💬Normal

Kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael amethibitisha kuwepo kwa mazungumzo kati yake na wakala wa mchezaji raia wa Zambia Justin Shonga anayekipiga katika klabu Orlando Pirates ya Afrika Kusini Ili kujiunga na klabu Yanga. Eymael, ambaye ni kocha mkuu wa klabu Yanga, amesema kikwazo kilichopo ni mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kuhitaji mshahara mnono wa dola za kimarekani $15 000 kwa mwezi ambazo ni sawa na shillingi 34,717,500.00 za kitanzania. Msimu huu Shonga hajawa na wakati mzuri na wababe hao wa kusini mwa Afrika kwani katika mashindano yote amecheza mechi 11 na hajafunga bao lolote wala kutoa assist. Follow @kessysports_tz . . . . . #alikiba #cloudsfm #chibudangote #dailysporttz #diamondplatnumz #daudatransferupdates #harmonize #hainakufeli #kondeboy #kingkiba #kessysportmedia #qualitysportstz #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #millardayosports #millardayoupdates #rayvanny #thisissimba #tanzaniapremierleague #sokaonlineupdates #sokaliveupdates #sisinisoka #simbasc #simbasportsclub #simbaraha #yangampya #yangasc #yanga #wasafimedia #saujifullsokkaa


0💬Normal

Next Page